quranm◉

Surah An-Nas (114) recited by Mohamed Siddiq al Minshawi (Mujawwad)

Listen to Mohamed Siddiq al Minshawi (Mujawwad)

Surah ◉

114:1

قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ ﴿1﴾

Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,

114:2

مَلِكِ ٱلنَّاسِ ﴿2﴾

Mfalme wa wanaadamu,

114:3

إِلَٰهِ ٱلنَّاسِ ﴿3﴾

Mungu wa wanaadamu,

114:4

مِن شَرِّ ٱلۡوَسۡوَاسِ ٱلۡخَنَّاسِ ﴿4﴾

Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,

114:5

ٱلَّذِي يُوَسۡوِسُ فِي صُدُورِ ٱلنَّاسِ ﴿5﴾

Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,

114:6

مِنَ ٱلۡجِنَّةِ وَٱلنَّاسِ ﴿6﴾

Kutokana na majini na wanaadamu.

This surah by other reciters