112:1قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ ﴿١﴾
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
112:2ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ ﴿٢﴾
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
112:3لَمۡ يَلِدۡ وَلَمۡ يُولَدۡ ﴿٣﴾
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
112:4وَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ ﴿٤﴾
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.