quranm◉

Sura Hud 11:22

لَا جَرَمَ أَنَّهُمۡ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ هُمُ ٱلۡأَخۡسَرُونَ ﴿٢٢﴾

◉

Tafsiri

Bila ya shaka hakika wao ndio wenye kukhasiri huko Akhera.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Hakuna shaka kwamba wao katika Akhera ndio waliohasiri zaidi.
— Rowad Translation Center

◉ Sura · ∞