quranm◉

Surah Al-Ikhlas (112) recited by Mishari Rashid al Afasy

Listen to Mishari Rashid al Afasy

Surah ◉

112:1

قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ ﴿1﴾

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

112:2

ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ ﴿2﴾

Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

112:3

لَمۡ يَلِدۡ وَلَمۡ يُولَدۡ ﴿3﴾

Hakuzaa wala hakuzaliwa.

112:4

وَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ ﴿4﴾

Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

This surah by other reciters