Sura Luqman 31:4
ٱلَّذِينَ يُقِيمُونَ ٱلصَّلَوٰةَ وَيُؤۡتُونَ ٱلزَّكَوٰةَ وَهُم بِٱلۡأٓخِرَةِ هُمۡ يُوقِنُونَ ﴿٤﴾
◉
Tafsiri
Wanao shika Sala, na wanatoa Zaka, nao wana yakini na Akhera.
Wale wanaoshika Swala, na wanatoa Zaka, nao wana yakini na Akhera.