quranm◉

Sura Adh-Dhariyat 51:22

وَفِي ٱلسَّمَآءِ رِزۡقُكُمۡ وَمَا تُوعَدُونَ ﴿٢٢﴾

◉

Tafsiri

Na katika mbingu ziko riziki zenu na mliyo ahidiwa.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Na katika mbingu ziko riziki zenu na yale mnayoahidiwa.
— Rowad Translation Center

Mada · Aya

◉ Sura · ∞