Sura An-Nahl 16:58
وَإِذَا بُشِّرَ أَحَدُهُم بِٱلۡأُنثَىٰ ظَلَّ وَجۡهُهُۥ مُسۡوَدّٗا وَهُوَ كَظِيمٞ ﴿٥٨﴾
◉
Tafsiri
Na mmoja wao akibashiriwa kwa msichana, uso wake unasawijika, naye kajaa chuki.
Na mmoja wao akibashiriwa msichana, uso wake unasalia umesawijika na anakuwa na huzuni mno.