Sura Al-Kahf 18:41
أَوۡ يُصۡبِحَ مَآؤُهَا غَوۡرٗا فَلَن تَسۡتَطِيعَ لَهُۥ طَلَبٗا ﴿٤١﴾
◉
Tafsiri
Au maji yake yakadidimia wala usiweze kuyagundua.
Au maji yake yakazama (katika ardhi), basi usiweze kuyatafuta ukayapata.