Sura Ar-Rahman 55:41
يُعۡرَفُ ٱلۡمُجۡرِمُونَ بِسِيمَٰهُمۡ فَيُؤۡخَذُ بِٱلنَّوَٰصِي وَٱلۡأَقۡدَامِ ﴿٤١﴾
◉
Tafsiri
Watajuulikana wakosefu kwa alama zao, basi watashikwa kwa nywele zao za utosini na kwa miguu.
Watajuulikana wahalifu kwa alama zao, basi watashikwa kwa nywele zao za utosini na kwa miguu.