quranm◉

Sura Al-Anbya 21:102

لَا يَسۡمَعُونَ حَسِيسَهَاۖ وَهُمۡ فِي مَا ٱشۡتَهَتۡ أَنفُسُهُمۡ خَٰلِدُونَ ﴿١٠٢﴾

◉

Tafsiri

Hawatausikia mvumo wake, na wao watadumu katika yale zinayo yatamani nafsi zao.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Hawatausikia mvumo wake, na wao watadumu katika yale ambayo nafsi zao zinayatamani.
— Rowad Translation Center

◉ Sura · ∞