quranm◉

Dua for a sound heart and Paradise

From: 26:87, 26:88, 26:89 · Speaker: Ibrahim

26:87

وَلَا تُخۡزِنِي يَوۡمَ يُبۡعَثُونَ ﴿87﴾

Read ayah ◉

26:88

يَوۡمَ لَا يَنفَعُ مَالٞ وَلَا بَنُونَ ﴿88﴾

Read ayah ◉

26:89

إِلَّا مَنۡ أَتَى ٱللَّهَ بِقَلۡبٖ سَلِيمٖ ﴿89﴾

Read ayah ◉

Translation

Wala usinihizi Siku watapo fufuliwa.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Wala usinihizi Siku watakapofufuliwa.
— Rowad Translation Center
Siku ambayo kwamba mali hayato faa kitu wala wana.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Siku ambayo kwamba mali haitafaa kitu wala wana.
— Rowad Translation Center
Isipo kuwa mwenye kumjia Mwenyezi Mungu na moyo safi.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Isipokuwa mwenye kumjia Mwenyezi Mungu na moyo safi."
— Rowad Translation Center